
betPawa Tanzania imemtawaza mshindi wao mkubwa zaidi, Salman Yasin Arab mkaaji i wa Mkoa wa Shinyanga. Salman alijishindia kitita cha Tsh 9,079,063 baada ya kuwekeza dau la Tsh 1000 pekee kwenye mechi 19. Kutokana na bonus maridadi ya betPawa ambapo kuwekeza mechi 20 na zaidi sahihi unapata ziada ya 100%, ilhali kuwekeza mechi 10 na zaidi, unapati ziada ya 50% kulingina na dau lako. Kwa hivyo, ushindi wa Salman uliboreshwa maradufu kutoka Tsh 6,052,708 hadi Tsh 9,079,063.
Mkulima huyo wa pamba anayefanya kazi kati ya Tanzania alionyesha furaha tele kwa kuwa mshindi mkuu wa kwanza wa betPawa Tanzania. Alieleza kwamba alivutiwa kujiunga na betPawa kwa ajili ya bonus zao bora, uwezo wa kucheza na dau la chini sana na pia uwezo wa kubashiri mechi kwa urahisi kupitia rununu yake bila kutembelea duka lolote!
Salman, ambaye ana ustadi katika kubashiri mechi alijiunga na betPawa mwezi wa Novemba. “Nimekuwa nikibashiri mechi kwa muda wa miaka mitano sasa. Najivunia betPawa kwa sababu baada ya kujiunga na kampuni hii,naweza kucheza kwa urahisi popote niendapo, kwa vile mimi husafiri sana,” maaji huyu wa Shinyaga alieleza.
Zaidi ya hayo, mshindi huyo mkubwa alizidi kusema kwamba, “Kwenye bet yangu ya ushindi, nilichagua mechi kumi awali, lakini nilipofahamu kwamba malipo yangu yangeongezeka maradufu kutokana na bonus nzuri ya betPawa, niliamua kuongeza mechi zingine 9.”
betPawa Tanzania inawapatia wateja wake fursa ya kucheza na dau dogo na kushinda hela kubwa, jambo lililomvutia Salman kujisajili nao.
“Baada ya kujishidia hela ndogo hapo awali, nilikuwa na nafasi bora ya kushinda hela kubwa nyigi zaidi,” alisema kabla kuongezea kwamba, “na haikuchelewa sana kabla nitimize ndoto yangu.”
Salman alieleza kwamba alikuwa safarini kuelekea Sirare alipopata taarifa za ushindi wake. “Nilikuwa na furaha kenyekenye. Nilijua kwamba huu tu ndio mwanzo wa mambo mengi mazuri yajayo.”
Kando na kushukuru betPawa baada ya ushindi, Salman aliisifia betPawa kwa dau lao la chini pamoja na bonus maradufu iliomsaidia kushinda milioni tatu zaidi. Pia, aliwasifia betPawa kwa uaminifu wao akisema, “Tofauti na kampuni zingine nyingi za kubashiri micheza, betPawa walinilipa papo hapo na niliweza kutoa pesa kupitia simu yangu kwa njia ilio rahisi na salama. Nawashukuru sana na natumai kushinda tena.”
Na anawaeleza nini wachezaji wengine? “Ningependa kuwahimiza wachague betPawa na wanaweza kushinda kama mimi. Ni mchezo wa ukweli na unapo shinda, unapata pesa zako haraka upesa.”
betPawa Tanzania ingependa kumpongeza Salman kwa ushindi wake. Twatumaini atafurahia ushindi wake.
Je, dau la chini la betPawa ni nini?
betPawa inawapatia wateja wake fursa ya kipekee na kikweli ya kushinda hela nyigi kwa kuwekeza dao dogo sana la kuanzia Tsh 1 pekee!
Je, win bonus ya betPawa ni nini?
betPawa inatoa win bonus bora zaidi Tanzania, kwa kuwapa wateja wao fursa ya kushinda ziada ya had 100%. Kwa kubashiri mechi kumia sawa unapata bonus ya 50% ilhali utazawadiwa bonus ya 100% kwa mechi 20 na zaidi.
betPawa ndio kampuni bora zaidi ya kubashiri mechi mtandaoni kwa njia rahisi na salama. Zaidi ya kuwa na odds bora zaidi, wanawapa wateja wao fursa ya kushinda hela kubwa kwa kucheza na dau dogo sana la kuanzia Tsh 1 pamoja na bonus ili kukuongezea ushindi wako. Na pia huduma ya masee 24 kwa wateja.
Je, hujajisajili? Pata FREEBET sasa kwenye tovuti:
/tanzania-winner