Mshindi mpya betPawa ahisi furaha ya ushindi wa Tsh. 16,832,727.68

Licha ya kuwa mteja wa kampuni ya kubashiri michezo ya betPawa kwa chini ya mwezi mmoja, mkazi wa Arusha Athumani Ali Bisibo ametawazwa mshindi wa kitita cha Tsh. 16,832,727.68 baada ya kubashiri mkeka wa mechi 20 na dau la Tsh. 200.

Athumani, ambaye ni muuzaji wa nguo za mtumba alichagua masoko ya ubashiri kwenye mechi 20 kutoka nchi tofauti zikiwemo Scotland na Bolivia. Kwenye mechi zote alizochagua, kulikuwepo na soko la Arsenal kushinda Napoli kwa odds za 4.75

Kwa chaguo lake, Athumani alijishindia jumla ya shilingi Tsh. 8,416,363.84 kutokana na dau lake la Tsh. 200 na zaidi ya hiyo, akajishindia shilingi Tsh. 8,416,363.84 za ziada kutokana na bonasi ya asilimia 100 inayotolewa na betPawa pekee.

Alilipwa papo hapo!

Athumani alieleza kwamba rafikiye alimjulisha kuwa mechi alizochagua kwenye mkeka wake, zilikua zimepata matokeo sawa na alivyobashiri.

“Swahiba wangu alinieleza kwamba mechi zote tatu zilizosalia zilikua zimekamilika, na kwamba ubashiri wangu ulikuwa sawia na matokeo. Mara hiyo hiyo, niliingia kwenye akaunit yangu ya betPawa na nikapigwa na butwaa kupata kwamba salio langu lilikua limeongezeka! Nilijazwa na furaha isioelezeka na wakati huo, nikamjulisha mdogo wangu, nasi sote tukawa na furaha,” Athumani alieleza akiwa kwenye ofisi za betPawa.

Mkazi huyo wa Arusha aliongeza kuwa atawekeza hela alizoshinda kuimarisha biashara yake. “Rafiki yangu alinieleza kuhusu betPawa majumaa kadhaa yaliyopita na naipenda kwa kweli kwa ajili ya bonus yao ya asilimia mia pamoja na malipo ya papo hapo.”

Athumani ataendelea kucheza

Akipokea hundi yake kwenye ofisi za betPawa, Athumani alivumbua na kusema kwamba siri ya ushindi ni kuchagua mechi kwa uangalifu pamoja na kucheza kwa uangalifu.

“Natarajia kushinda tena. Hivi majuzi nimekosa ushindi mwingine mkubwa lakini nina uhakika nitashinda tena. Ningependa kuwashauri watu wa mji wangu wa Monduli wacheze na betPawa na wanaweza kuwa washindi wakubwa kama mimi.”

Je, dau la chini la betPawa ni nini? betPawa inawapatia wateja wake fursa ya kipekee na kikweli ya kushinda hela nyigi kwa kuwekeza dao dogo sana la kuanzia Tsh 1 pekee!

Je, win bonus ya betPawa ni nini? betPawa inatoa win bonasi bora zaidi Tanzania, kwa kuwapa wateja wao fursa ya kushinda ziada ya hadi 100%. Kwa kubashiri mechi tano mpaka tisa sawa unapata bonasi ya 10%, na mechi kumi mpaka kumi na tisa unapata bonasi ya 50% ilhali utazawadiwa bonasi ya 100% ukipata sawa mechi kumi na tisa mpaka thelathini.

betPawa ndio kampuni bora zaidi ya kubashiri mechi mtandaoni kwa njia rahisi na salama. Zaidi ya kuwa na odds bora zaidi, wanawapa wateja wao fursa ya kushinda hela kubwa kwa kucheza na dau dogo sana la kuanzia Tsh 1 pamoja na bonus ili kukuongezea ushindi wako. Na pia huduma ya masaa 24 kwa wateja.

Je, wewe ndio mshindi atakayefuatia? Jiunge sasa kwenye tovuti: www.betpawa.co.tz

Your Balance: Loading